Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Post M-alone nimefanikiwa kukatoa haka ka tone, kimya kimya sasa, nimeweka tu kwenye your sound, alafu nime save.. imepiga kimya
Mtihani huuWameweka kwenye seting opt ya ky change tone. ila sijaona sehemu ya ku mute, vinazingua kweli kweli hata simu ukiwa umeweka kwenye mod ya no disturb message zikiingia unasikia
Usiniambie kuna picha imenipita na nipo hapahapa 🙆Kuna picha imeenda wapi
Screenshot ulipotoleaPost M-alone nimefanikiwa kukatoa haka ka tone, kimya kimya sasa, nimeweka tu kwenye your sound, alafu nime save.. imepiga kimya
Nime weka hivyo imepiga kimyaMtihani huu
Naomba uirudishe....Usiniambie kuna picha imenipita na nipo hapahapa 🙆
Ya mchongo 😂Chuchu konziiii
Chuchu mwiba
Kaumbo ka ize tu keri.
Weuweeeeeeh
![]()
Nani aliweka tumuombe?Naomba uirudishe....
Umemaliza mkuuNime weka hivyo imepiga kimyaView attachment 2271047
Hapa mwendo wa kimya kimya tuu 😄😄😄Umemaliza mkuu
Rudisha hio pichaNani aliweka tumuombe?
Picha gani tena?Rudisha hio picha
Mbwembwe zikizidi inakuwa sioHapa mwendo wa kimya kimya tuu 😄😄😄
Na kweli imetulia...mm ilikuwa inanikera sana ile kelele.Mbwembwe zikizidi inakuwa sio
Niliacha kuswakia ya Bomba
Ila bado napikia
Meno yamekuwa kama ya akina Manka![]()




dada jaman, mie huwa napikia na kufulia, ila matumizi mengine hapana.Inakera,Na kweli imetulia...mm ilikuwa inanikera sana ile kelele.
🥺dada jaman, mie huwa napikia na kufulia, ila matumizi mengine hapana.
Sana.Inakera,
😄😄 kwenye maboresho yao, wameacha kitu muhimu. Editing, mtu aki ku quote imetoka hiyo, hata ufute au ubadirishe haibadiriki. Hii kitu huwa inazingua sijui kwanini wameamua hiviMbwembwe zikizidi inakuwa sio
Maisha ya chuo matamu,Ya mchongo
Nilikuwa nashindilia ugali jamani chuo.
Nimemiss maisha ya chuo.




