Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Hivi hawakuweka settings?😄😄 hivi vi tone jukwaa likiwa vinaitika tu, sioni pa kuvitolea
Hivi hawakuweka settings?😄😄 hivi vi tone jukwaa likiwa vinaitika tu, sioni pa kuvitolea
Nakula sana ugali🥺Hunifikii kitambi, hunywi beer kitambi kinatokea wapi
Ulikuwa wapi sasa Coca?😆Mbna sijaona hapa, hebu arudie kwan lol.
Flat ya mchongo😃🔥🔥🔥🔥
Mtoto upo flat 🎆🎇🎇
Unatumia dawa gan? Mie sahiv natumia kwan Vigor Doctor huku natafuta hii iliyoisha, maana aliniambia maduka makubwa inaweza kuwepo.Mjini hapahapa![]()
Ule ugali wako kama ngumi ya mtoto ndio ujaze tumboNakula sana ugali🥺
Tumbo imejaa
Nimeshindilia juice ya kutoshaIshara njema..linahitaji juice
Siku hizi naupiga mkubwa..Ule ugali wako kama ngumi ya mtoto ndio ujaze tumbo
AmekusikiaWee hebu arudie muambie bhana.![]()
Muagize tena..Kuna dawa hivi mie kuna mtu aliniletea kutoka SA, sema imeisha karibuni tyuuh, bhana wee inaumiza ila, unaipaka kwenye meno inakaa km dakika 15 ndo unaanza kusugua,
Aseeeh mabadiliko nimeyaona, meno yangu ni meupe tangu mda, ila baada ya kutumia hii dawa yamezidi kuwa meupe, ndo nahangaika kutafuta madukan.
Napenda mnoo meno kuwa meupe, nafeel Comfortable.
Hujui tu wenzio wanavyohangaika wapate ka flat kama hakoFlat ya mchongo😃
Huoni kitambi hicho?
Mimi natafuta kitambi kidogoHujui tu wenzio wanavyohangaika wapate ka flat kama hako

,,Apperitif inakuwa nzuri, sema we hutumii alcoholSiku hizi naupiga mkubwa..
Nilitafuta Appetizer
Ndo nimemuambia yeye anakuja August Mwanzoni, sasa wakati nasubir ndo nahangaika kutafuta kwan madukani angalau nijisogeze muda,Muagize tena..
Nimekuwa na meno kama watu wa kaskazini..
Beer zinaleta kitambi chapMimi natafuta kitambi kidogo
Tumbo dogo nakuwa kama mtoto,,
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Pombe siweziApperitif inakuwa nzuri, sema we hutumii alcohol

Na ugali nasikia unaleta kitambi chap.Beer zinaleta kitambi chap
Hiyo vigor Dr ndiyo ninayotumia muda wote.Ndo nimemuambia yeye anakuja August Mwanzoni, sasa wakati nasubir ndo nahangaika kutafuta kwan madukani angalau nijisogeze muda,
Kwa sasa natumia Vigor Doctor OG, sitaki dawa za meno uchwara mie, akaaaah.