myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
Jiraniii....Sina selfie
Jiraniii....Sina selfie
Wazo zuri sanaWeka picha watu wamelala wajumbe tupo wachache hapa[emoji1]
Hahha tangazo la white dent sema unameno mazuri Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], navopenda kucheka sasa, km tangazo la white dent. Uwiiiiiih.
Najitahidi sana nataka yawe meupe zaidi ya hapa shangazi.
Haaahaaa..Raha ya picha iwekwe hapa[emoji847]
Ukinitumia pm iwe full Mkuu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Unatumia Nini kuyafanya yawe meupe zaidi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], navopenda kucheka sasa, km tangazo la white dent. Uwiiiiiih.
Najitahidi sana nataka yawe meupe zaidi ya hapa shangazi.
Dada mzuri mwenye shape nzuri[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Ila anne[emoji23][emoji23]View attachment 2271023
TunasubiriWazo zuri sana
Kajunia katakuwa kambea mno[emoji38]Dada mzuri mwenye shape nzuri[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Junia ameosha macho[emoji7]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kanasema huyu Madam mzuri[emoji2]Kajunia katakuwa kambea mno[emoji38]
Hahhaha wote wambea tupu na mamaake[emoji38][emoji38]
Ambatanisha salamu na Picha Jirani.Salam za weekend..
Junia amechungulia bonge la shepu[emoji38]Hahhaha wote wambea tupu na mamaake[emoji38][emoji38]
Kwakweli aje atuambie mm ninakiherehere Cha kucheka lkn [emoji3] alafu kunayale ya ukoo iyo sample kila member wa familia anayo nachoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahah ataota alale sahiz
Mimi yamefubaa[emoji3064]Kwakweli aje atuambie mm ninakiherehere Cha kucheka lkn [emoji3] alafu kunayale ya ukoo iyo sample kila member wa familia anayo nachoka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anaona shepu nene,Hahah ataota alale sahiz
Haikuleta kale kamlio [emoji23][emoji23][emoji23]
Usiku mwema pia.Usikumwema jamni
Mlale salama