spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,029
- 21,530
Komwe ilo ni la kubusiwa mbele za watoto ni muhimuKabisa.
Siyo nywele zinakaribiana na macho..Haipendezi!
Komwe ilo ni la kubusiwa mbele za watoto ni muhimuKabisa.
Siyo nywele zinakaribiana na macho..Haipendezi!
Iko siku nitasema.Mara ya ngapi unasema ivi
Usje ukanivuruga tuIko siku nitasema.
Na nitakuvuruga kweli, subiri ntakufurahisha.Oohoo
Nyts waungwana
Mtakatifu nakusalimiaAmen ,
Akhsante Chief mwenye roho yake nzuri.
Unasalimiwa.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kumbe!Komwe ilo ni la kubusiwa mbele za watoto ni muhimu
Mimi deni langu tulipane mapema.Heaven Sent na Saint Anne, nipo nakata mitaa ya jamiiforums, baadae tuonane.
Tumekumiss mno.Mtakatifu nakusalimia
Niliwamiss pia. Jf app kwangu ilikua changamoto ila nashkuru now iko okayTumekumiss mno.
Karibu tena.
App ni kichomi.Niliwamiss pia. Jf app kwangu ilikua changamoto ila nashkuru now iko okay
Ilibidi niombe msaada kwa MaxApp ni kichomi.
Wameamua watususie tupambane na hali zetu, hakuna marejebisho.
Dada,
Nakupenda.
Leo nimemuandikia mdogo wako uzi matata kabisa kumu wish happy birthday.
Mara ghafla, mods wakaufutilia mbali.
Hii imekaaje mkuu?
Kiukweli moyo wangu ni mzito sana, hiki kitu wamefanya mods kimenitia ufa moyoni, kimeupasua katikati.
Au pengine huyo dogo anatoka na mmoja wa moderators? 😡

NadhaniKuna uzi wa mshana wa pombe itabidi nikapige kambi huko.