Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Daah wamemkomesha kweli Nandy, na huku Roy hakumbuki kitu. Ngoja Sada amwambie Yakoub, atawehuka.Yan pamechekesha, na mwenyewe Dori alivyobaki na mshangao 🤣
Yaan amkomeshe na Dori, me kananiboa..