Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,862
Imebidi niingie kitchen niandae ka uji .Duh!!! Pole sana jirani na muda wa mahindi ya kuchoma bado..
Imebidi niingie kitchen niandae ka uji .Duh!!! Pole sana jirani na muda wa mahindi ya kuchoma bado..
Hongera jiraniImebidi niingie kitchen niandae ka uji .
😁😁 dah🙎🙎🙎🙎🙎 Eeeh! Utalia alafu utafurahi 😎
😎😎😎😎😁😁 dah
Wiki hii sijavaa[emoji134]
Asante mjomba!!
Mguu softiiiiii😘😘
Ubarikiwe sana mjomba 😘!
😍😍 skin tone
Mbona haiiti 😁😎😎😎😎
Hebu nieleze, ku update email kiaje tena?Ilibidi niombe msaada kwa Max
Kikubwa kinachotakiwa ni ku apdate email yako hapo kwenye setting yako, uweke ile inayopatikana ndo mfumo wa sasa unavohitaji coz kumekua na emails fake nyingi
😄😄😄😄😄😄😄😄 utatoa maelezo baada ya mahojianoMbona haiiti 😁
Inafanya ti ti ti , inajikata 😎
Mguu mzuri, [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Wiki hii sijavaa[emoji134]
Mguu kulainika kidogo tu nikapata jeuri[emoji23][emoji23][emoji23]
Naanza Tena kuvaa nkamu[emoji1787]
Asante umenimotivate.
.....
Naona umepona mguu Nkamu[emoji847]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nkamu na hili baridi, angalau zoezi linakuwa rahisi kidogo. Mguu unaendelea vizuri eeh
[emoji7][emoji7] skin tone
Mguu softiiiiii[emoji8][emoji8]
Nkamu na hili baridi, angalau zoezi linakuwa rahisi kidogo. Mguu unaendelea vizuri eeh
#Glowingskin#