Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,519
- 235,236
Dawa ya deni ni........Haina shida.
Dawa ya deni ni........Haina shida.
Na kweli una komwee hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha usiweke full, maana Mimi ya full sina😂😂😂Kwa hio nikiweka full hapa na nyie wawili mnaweka full?
Hizo unazopost unapigia picha wapi? una picha moja tu ya pombe ile St annaNako nipo.
![]()
![]()
![]()
![]()
ila cuzooo jaman.![]()
hahaha!mali ya brotherChukua mama hio 2pac anakuelewa ila anaogopa kusema
Kitu real iko yan kitu yum yum6 ya mchongo
Tukikaaga nae anasema anakukubali swaga zako za kimarekanihahaha!mali ya brother
Tena nimekaa tuli km 1 sitingishiki wala situkunyuki, m usione nna heka heka hapa jamvini, huko uraiani naishi kwa step mama malezi, mambo mengine yanaepukika kirahisi.Mungu akutunze shos, tuendelee kuenjoy hekaheka zako. Jikalie zako tu home kwa amani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cuzoooo una nn wee?njoo nkufanyie massage zitule hizo mbavu zako
ila coca jaman nitumie namba yako niskie saut yako japo kiduchu tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila cuzooo jaman.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yatakushinda wee mtu.Chukua mama hio 2pac anakuelewa ila anaogopa kusema
Kumbeeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ok, tumekubaliana.Hahaha usiweke full, maana Mimi ya full sina😂😂😂
Kumbe nini sasaKumbeeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utaki kupelekwa marekani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yatakushinda wee mtu.
Eeh weka ya kawaidaOk, tumekubaliana.
Nimejaza st jokofu zima..kila siku nakunywa.Hizo unazopost unapigia picha wapi? una picha moja tu ya pombe ile St anna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cuzooo ana swagga za wapi? Hebu.Tukikaaga nae anasema anakukubali swaga zako za kimarekani
Mweeh kweli maisha ni matamu sana mdogo angu, unayoweza kuyaepuka; yaepuke tu kwa amani ya moyo wako.Tena nimekaa tuli km 1 sitingishiki wala situkunyuki, m usione nna heka heka hapa jamvini, huko uraiani naishi kwa step mama malezi, mambo mengine yanaepukika kirahisi.
Maisha matamu bhana, wee usafirishwe ardhini bila kupenda ebooooh. Sitaki mie.