myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Salam kwenu..
Amin..Iwe siku yenye Amani..
Njoo uchukue joto 🫂Hii baridi ya leo 😩😩
Nitumie kwa BM coach 😩Njoo uchukue joto 🫂
😊😊 Unataka nyuzi joto ngapi .. nikujazilizieNitumie kwa BM coach 😩
Hujambo jirani....Kunywa kahawa jiran.Hii baridi ya leo 😩😩
We jazia za ujazo 😁😁😊😊 Unataka nyuzi joto ngapi .. nikujazilizie
Jirani baridi ni kali leo 🙂Hujambo jirani....Kunywa kahawa jiran.
33⁰C itapendeza eeehWe jazia za ujazo 😁😁
Na uweke vocha..
Na shida na Mb zakupakulia Mamuvii
The weekend is around the corner.
Oh kumbe!Ilibidi niombe msaada kwa Max
Kikubwa kinachotakiwa ni ku apdate email yako hapo kwenye setting yako, uweke ile inayopatikana ndo mfumo wa sasa unavohitaji coz kumekua na emails fake nyingi
Kabisa, maana hali ya leo sio poa…33⁰C itapendeza eeeh
Unajua pa kunipata 😊😊😊
Uje kwanza uyaogeee 😎😎😎
🙎🙎🙎🙎🙎 Eeeh! Utalia alafu utafurahi 😎Kabisa, maana hali ya leo sio poa…
🤣🤣 usinifanyie hivyo, ninaweza kulia mpaka majirani wasikie 😭
Duh!!! Pole sana jirani na muda wa mahindi ya kuchoma bado..Jirani baridi ni kali leo 🙂
Na mama Klaree eti hajapika mtori jamani…