Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Dada,

Nakupenda.

Leo nimemuandikia mdogo wako uzi matata kabisa kumu wish happy birthday.

Mara ghafla, mods wakaufutilia mbali.

Hii imekaaje mkuu?

Kiukweli moyo wangu ni mzito sana, hiki kitu wamefanya mods kimenitia ufa moyoni, kimeupasua katikati.

Au pengine huyo dogo anatoka na mmoja wa moderators? 😡
Your last statement though 🤣😂😂

Mdogo angu kipenzi; you know venye dada anakupenda and got your back 24/7 eeeh ....

Sasa mods wamekupa sababu ya kufuta uzi wako au? It's unfair jamani.

Btw you are missed baba mbogamboga
 
Dada,

Nakupenda.

Leo nimemuandikia mdogo wako uzi matata kabisa kumu wish happy birthday.

Mara ghafla, mods wakaufutilia mbali.

Hii imekaaje mkuu?

Kiukweli moyo wangu ni mzito sana, hiki kitu wamefanya mods kimenitia ufa moyoni, kimeupasua katikati.

Au pengine huyo dogo anatoka na mmoja wa moderators? 😡
Kuna namna Mods wanashirikiana na wakuu wa anga.
 
Back
Top Bottom