Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushindweee, mie home huwa narudi 9:00PM always, nikifika ghetto ni kuliangusha tyuuh. Au kuzurura kwa social media.
Nyumbani saa 3?? Nenda kwa mwamposa mapemaaaa ukaombewe ,,, mwisho wa kukaa chuo ni saa 12 jioni, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu anasaidia,,, Hali inaimarika Kwa kiasi chake.. usiwazee nitawabarikiii
emoji4.png
QR mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan full burudaan, ila mie napendaga kwenda kule venue za masters, bas wakaka wako smart na make handsome, nawazoom wee hadi hoi.

Ntamic maisha ya chuo niki graduate wallah.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee..
 
Back
Top Bottom