Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,999
- 35,457
Kumbe wewe n dk 2 ushacover kila kitu, safi.Mwanzoni walijua nasomea geto baadae nkahamia nyumba tunakaa na classmates wakasema nasomeaga chumban mwsho nikakaaga na mchumba akahisi tukilala naamka nasoma kimya kimya [emoji1787]