Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,342
Eeh yupo vizuriNyie kuna huyo kaka anakua had na sup 3 afu sasa hawazi wala nn, na akienda September conference anachomoa zote.![]()
Eeh yupo vizuriNyie kuna huyo kaka anakua had na sup 3 afu sasa hawazi wala nn, na akienda September conference anachomoa zote.![]()
Jaman🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
We siku hizi si unajifanya unatumia ma wasap gb, pa kusevia hupaoni? 😁 au unadhani sija notice
Umekuja eeh, ngoja ss niselfike uone nilivyopungua pungua kdgNimekuja kipenzi nimekuja ebu nistue nikae sawa kipenzi!

Subiri sasaaaTuwekee selfie hapa shougaa angu
niingie Kwa gallery.Me ni mistress wa hizo mambo 😁😁 hunijazi ng’oooJaman🤣🤣🤣🤣
Unanisingzia ujue, sijawah download hyo kitu eti.
Sawa kipenzi tupia namie uniambie mbinu nipunguze tumbo mie!Subiri sasaaaniingie Kwa gallery.
Tanteeeeeehhh!! Weeehh mbona umepungua sana uwiiii umekua kimodooooo





HatariiiTumbo langu lipo hivi Sasa hivi View attachment 2266661

Sawa kipenzi tupia namie uniambie mbinu nipunguze tumbo mie!

lako liko kiasi gani ss hivi?Mie pia nimefanikiwa kupungua kidogo ila kitambi hakitoki kha

!!Hongera kipenzi!!!Umepunguza tumbo aseeTumbo langu lipo hivi Sasa hivi View attachment 2266661
Tanteeeeeehhh!! Weeehh mbona umepungua sana uwiiii umekua kimodooooo![]()
tuondoe minyama uzembe tuu kidg.FireeeeHatariii![]()

Umefanyeje shougaa hebu nipe mbunu mie!!tuondoe minyama uzembe tuu kidg.
Kitambi kigumuuuu. Yani ukifanikiwa kuondoa kitambi bs umewini koteMie pia nimefanikiwa kupungua kidogo ila kitambi hakitoki kha!!

Mnafuga takohili ndo naombea lisipungue
![]()