Darcyy
JF-Expert Member
- Oct 26, 2021
- 2,432
- 9,756
Kula zako matunda hasa usiku,,, tengeneza detox ya pilipili hoho na ginger. Punguza kiasi Cha mlo unachokulaga Kwa sikuUmefanyeje shougaa hebu nipe mbunu mie!!
Kula zako matunda hasa usiku,,, tengeneza detox ya pilipili hoho na ginger. Punguza kiasi Cha mlo unachokulaga Kwa sikuUmefanyeje shougaa hebu nipe mbunu mie!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatufugii mkuu..Mnafuga tako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi nikipungua na lenyewe linapungua [emoji6][emoji6][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!![emoji23][emoji23] hili ndo naombea lisipungue [emoji134][emoji13][emoji85]
Asante shouga nitafanya hivoKula zako matunda hasa usiku,,, tengeneza detox ya pilipili hoho na ginger. Punguza kiasi Cha mlo unachokulaga Kwa siku
Kama ndo ivo mkemia uwe na kitambi ata cha Peter msechu Sawa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mimi nikipungua na lenyewe linapungua [emoji6][emoji6][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Use them in moderation please [emoji1545]
nilijua tyucocastic na auntie @Strawbela mmemuona cuzooo huku leo kapiga Kitu cha pensiiiii!!!!😉
Kwakweli..kapendelewa SI kitoto@QueenDeby Pokea sifa hizi pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ndo ivo mkemia uwe na kitambi ata cha Peter msechu Sawa tu
Nimecheka Sana..Hadi nashangaliwa huku....msechuuu!!!!🤔..hapana nikupeleke tu uturuki tukakate nyama[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyooo😍😍😍
Ninayo hiyo tu, serious ujue😃Me ni mistress wa hizo mambo 😁😁 hunijazi ng’ooo
Ndio Nimepungua😉😉😘Ndiyooo😍😍😍
But..Ndio Nimepungua😉😉😘
Mweh nalenyewe limeisha!😉😉But..
Mashallah..mashallah😍