cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,371
- 188,081
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu kidogo ananifanya miwaze mate.Umesahau moja[emoji16][emoji16] coca hawazishwi na mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu kidogo ananifanya miwaze mate.Umesahau moja[emoji16][emoji16] coca hawazishwi na mtu
Mungu anasaidia,,, Hali inaimarika Kwa kiasi chake.. usiwazee nitawabarikiii[emoji4]Mkuu ujapona bado? Utubariki tukuone tusiokufaham
Nyie ndio mnawaletea fujo kina John kisomo [emoji23]Mie wanasemaga tyuuh nna uwezo wa kukariri, afu tangu vidudu hiyo had leo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikienda library naweza nisisome ni vurugu mwanzo mwisho, sijawahi kukua, akili ikifyatuka, napita mbele naanza kukata viuno bas watu wote hoi, ntaanza kuzurura na kuchokonoa umbea,
Sasa class naokaa nao karibu wana enjoy balaa, lecturer yupo class anatoa madesa, mie nakata viuno huku nimekaa, siku hyo mtu alicheka kwa nguvu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nkajikausha kmyaaaa. Uwiiiiih kwa pract sasa fujo zangu. Woiiiiiih.
Una sup??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu kidogo ananifanya miwaze mate.
[emoji1787][emoji1787] wanikumbusha mbali sana..Mie wanasemaga tyuuh nna uwezo wa kukariri, afu tangu vidudu hiyo had leo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikienda library naweza nisisome ni vurugu mwanzo mwisho, sijawahi kukua, akili ikifyatuka, napita mbele naanza kukata viuno bas watu wote hoi, ntaanza kuzurura na kuchokonoa umbea,
Sasa class naokaa nao karibu wana enjoy balaa, lecturer yupo class anatoa madesa, mie nakata viuno huku nimekaa, siku hyo mtu alicheka kwa nguvu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nkajikausha kmyaaaa. Uwiiiiih kwa pract sasa fujo zangu. Woiiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa kabisaa dea.[emoji1787][emoji1787] kaza msuli, kaza msuli mama. Usitazame Wala kumuogopa mtu.
[emoji39][emoji39]Senior bachelor View attachment 2266566
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Ghetto labda awepo na yule john kisomo ndo ananifanyaga nisome, pekee yangu mara chache sanaaa. Ndo maan mda mwingi nakua maeneo ya chuo ili nipate appetite ya kusoma.Kuna hyo moja ya ardhi tulikuwa tunakaa nayo nyumba moja oi,,, mchana inazurula usiku unaamka saa 8 ile umeshtuka unaikuta nje imevaa track,, soksi na imejifunika yale manguo ya kimasai inapasua mawimbi
[emoji87][emoji39][emoji39]
Lol[emoji39]Senior bachelor View attachment 2266566
Nna ka ugonjwa flan hv,,, nikionaga kale ka road ka getini ni kama kananivuta vile niende home[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Ghetto labda awepo na yule john kisomo ndo ananifanyaga nisome, pekee yangu mara chache sanaaa. Ndo maan mda mwingi nakua maeneo ya chuo ili nipate appetite ya kusoma.
Wee hebu Jah aaepushe mbali,Una sup??
Huna sup then unaanza kumuwazia mtu,,, acha bangi wewe hebu kula lifeWee hebu Jah aaepushe mbali,
Sup? Si ntaumwa mie lol.
Nehiiiiii sup sio level zangu.
[emoji23]Wee hebu Jah aaepushe mbali,
Sup? Si ntaumwa mie lol.
Nehiiiiii sup sio level zangu.
Acha urohoLol[emoji39]
Sio mroho, nimevutiwa tu [emoji4]Acha uroho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushindweee, mie home huwa narudi 9:00PM always, nikifika ghetto ni kuliangusha tyuuh. Au kuzurura kwa social media.Nna ka ugonjwa flan hv,,, nikionaga kale ka road ka getini ni kama kananivuta vile niende home
😂😂😂😂Sielewi hata🤣🤣
Af hujanitumia ile video, nataka niweke status😂
Nyie kuna huyo kaka anakua had na sup 3 afu sasa hawazi wala nn, na akienda September conference anachomoa zote. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]