Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,999
- 35,455
Jitu halisomi afu linapasuaKabisaa dea km huyu jamaa, yaan watu anatufanya tuwaze sana.
Jitu halisomi afu linapasuaKabisaa dea km huyu jamaa, yaan watu anatufanya tuwaze sana.
Hayo tumuachie mdogo wangu Tinsley na mama mchungaji Heaven Sent hawa ndiyo wanafaa kuwa wahariri wa Daily News😁Nimepigia tu picha, nijiumize kichwa kisa nini na hela ya panado sina mie😂😂
Kwema mamaa tumekumiss mnoo!😘Kwema humu!!,?
Sielewi hata🤣🤣Sasa kwanini hauna gari shost 🤣🤣🤣🤣🤣
Eeh sie wengine wacha tupige nayo picha tu za kupost selfika😂😂Hayo tumuachie mdogo wangu Tinsley na mama mchungaji Heaven Sent hawa ndiyo wanafaa kuwa wahariri wa Daily News😁
Nimehama huko ujue🤣🤣🤣Nipashe magazine 😂😂😂
Nimekumiss piaa mamitoo[emoji7].... Nimerudi sasaKwema mamaa tumekumiss mnoo![emoji8]
😂 😂 😂 😂Aseeeeh watu mnakula good time tyuuh,
Antonnia nitafutie danga niwe napanda Air bus. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamuwazia mtu[emoji23][emoji23][emoji23] nshakuvua nyota nawe[emoji23][emoji23],Kabisaa dea km huyu jamaa, yaan watu anatufanya tuwaze sana.
Chuo hakuna asiye soma sema nenda geto kwake uone show,, ni bundi kinyamaJitu halisomi afu linapasua
Not always lakini watu hawasomi na First class znakaaa kama kawaChuo hakuna asiye soma sema nenda geto kwake uone show,, ni bundi kinyama
[emoji23][emoji23][emoji23] et eeh kwamba magetoni anakesha, nalo neno lkn.Chuo hakuna asiye soma sema nenda geto kwake uone show,, ni bundi kinyama
Kuna watu wakishaelewa class basi wamemaliza, hutawaona wanahangaika na madaftar na wanapasua vibayaNot always lakini watu hawasomi na First class znakaaa kama kawa
Sema msuli wa getoni sio mzuri Sana. Haunaga uhuru kabisa. Labda kama waishi peke yako. Lakini mkiwa timu mmmmh ni mtihani.[emoji23][emoji23][emoji23] et eeh kwamba magetoni anakesha, nalo neno lkn.
Labda Kwa madarasa ya chini. Chuo useme hivyo unatafuta nini lakini?? Lbd km una sponsor.Kuna watu wakishaelewa class basi wamemaliza, hutawaona wanahangaika na madaftar na wanapasua vibaya
Mwanzoni walijua nasomea geto baadae nkahamia nyumba tunakaa na classmates wakasema nasomeaga chumban mwsho nikakaaga na mchumba akahisi tukilala naamka nasoma kimya kimya 🤣Kuna watu wakishaelewa class basi wamemaliza, hutawaona wanahangaika na madaftar na wanapasua vibaya
Kuna wengne wanaweza kigheto gheto na yupo mwenyewe anakuambia hivyo ndio anaelewa zaidi kuliko kukaa na group.Sema msuli wa getoni sio mzuri Sana. Haunaga uhuru kabisa. Labda kama waishi peke yako. Lakini mkiwa timu mmmmh ni mtihani.
Wee noumaaaah.Jitu halisomi afu linapasua