Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,306
- 185,256
Hahahahaaaa!! Hatare sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa bae wangu mwenyewe anayaona nikiyaweka kwa kabati hatashangaa, navaaga ili nje bae wangu ajisifie kwa wenzake kuwa ana sehemu ya kushika.