TAARIFA KWA WAKAZI MTAA WA SEGEREA. AMBAO NYUMBA ZAO ZINATIZAMA BARABARA YA LAMI.KUANZIA SANENE MPAKA SEGEREA MWISHO KUSHOTO NA KULIA. MNAOMBWA KUFIKA KWENYE KIKAO SIKU YA JUMATATU TAREHE 20)06/2022. KITAKACHOFANYIKA OFISI YA SEGEREA YA MTAA WA SEGEREA. MUDA NI SAA SITA.
AGENDA ZA KIKAO NI
1. UJENZI WA BARABARA YA MWENDO KASI
2. HIVYO KUNA UBOMOAJI WA NYUMBA AMBAZO ZITAGUSWA NA MRADI
3. KWAHIYO WATAKUJA WATU WA TANROAD NA WATU WA KUFANYA TASIMINI. HIVYO MWENYE NYUMBA UNAOMBWA KUFIKA KWENYE KIKAO BILA KUKOSA
Aisee kuishi mpakani na barabara ni nusu utajiri nusu umasikini. Hii habari ya kupanua barabara ya bima-segerea niliisikia miaka 5-6 huko. Leo inakuwa reality.
To all men here. Tusimame katika zamu zetu kama mababa na makuhani wa familia zetu. We may not get the appreciation we deserve. We may not even be appreciated at all. Lakini tusimame tu katika zamu zetu. Ni kazi na wajibu wetu kuacha kizazi imara na kilicholelewa katika misingi sahihi kimaadili na kiuungu kwa sababu sisi ndiyo makuhani.
Tuache nyuma watoto wasio na trauma kwa ajili yetu.
Tujitahidi kuwasogeza mbele kidogo kiuchumi wanetu ili wasije kuanzia pale tulipoanzia sisi.