cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,290
Kaa hapa.Ndiyo naisubiri yako hapa nifurahi mie
Kaa hapa.Ndiyo naisubiri yako hapa nifurahi mie
Kaa hapa.Nipo
hapa shos ebu weka mchana wangu uwe mzuri mie!!
Tumekuyaa tumekuyaaa shos akee tetemeeshaaaa uzi na mapoooouuzzxz!!😘😘nipo hapaaa, nilikua nawasubir mkuje.
Nipo Sitoki hapa 🙇🙇🙇🙇Kaa hapa.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aliekuambukiza hio tabia hakii amekuharibu ujue!!
NdiyooooTumekuyaa tumekuyaaa shos akee tetemeeshaaaa uzi na mapoooouuzzxz!!😘😘
Nasubiri hapa🤗Kaa hapa.
🤣🤣🤣🤣full mabadiliko nakwambia!!Hii ni browser?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😜😜😜😜 Hutaki kuckukua mapozi weye?? ! Tusubirie kwanza nyakanga atupie Vitu vyaukwee buana!😘😘🤣🤣🤣🤣....coca nyongeza ujue
😂😂😂😂 Asipite akaona comment akanichamba mie
Hukioni hapo nawee,







Brod darling bana, siwezi kuwaharibia siku yenu. Unajua nashindwa how to articulate it hadi muelewe kile nilichotaka mkielewe. My point is; achana na hizo roho mbaya zetu wamama; ila nguvu ya kulea iliwekwa kwetu zaidi kuliko kwa mwanaume. Nyie wenzetu mliwekewa zaidi nguvu ya provision, protection etc. Ndiyo maana hata maandiko yanasema "Mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye". Na zaidi wahenga wakakandamizia kuwa "asiyefunzwa na mamaye, hufunzwa na ulimwengu". Hiyo haimaanishi kwamba eti wababa hamjui kulea: hapana. Ila wababa wengi wapo/walikuwa wanalea zaidi financially kwa watoto wao; na malezi si fedha peke yake. But tunashukuru Mungu siku hizi; you guys are going extra miles kwenye malezi, that's why we are here to celebrate you today. I was blessed with such kind of a man; na nilikuwa naona kabisa tofauti yangu na baadhi ya watoto wengine. Siku hizi wababa mnakuwa present and available to your kids; siku hizi ni kawaida kukutana tu na baba na watoto wake wanaenjoy weekend, mama amebaki home. Kwenye kulea vichanga tunasaidiana sana; siku hizi hadi kuchange diapers mmeshafuzu. Watoto wapo free sana ku-open up kwenu bila woga; kwa sababu mmejenga sana urafiki nao. Majority ya wababa wa zamani nafikiri mnaijua. Mambo ya watoto kukimbilia vyumbani wakikua baba anarudi, yanazidi kupungua. So yeah, we are celebrating you today and everyday.Hao wanawake wanaoflash huko chooni, wanaotupa vichanga, wanao....aaah sis darling sio kila mwanamke ana umama ndani yake bwana..umetukosea sana..
Umebadili jina nikawa sikutambuiNipooo hapa, hebu weka bas nibariki, na mie nitingishe uzi.![]()

Hutaki kuckukua mapozi weye?? ! Tusubirie kwanza nyakanga atupie Vitu vyaukwee buana!
![]()





ntakubonda wee.Sio Mzumbe hapa?Mji kasoro bahariView attachment 2265630
Weee shos hilo tako umelitoa wapi kwani??? Mbona mabadiliko haya uwiiii!!