Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,524
- 235,257
Nilipe deni🔥🔥🔥🔥 âš âš
Mrembo Saint Anne
Nilipe deni🔥🔥🔥🔥 âš âš
Mrembo Saint Anne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] mpo vizuri
You Will Never Walk Alone[emoji91][emoji3590]Happy sunday mdogo wangu
Mimi leo nimepiga uzi wa chama letu pendwa #YNWA#
Pole sana, ni mipango ya mungu, sikufahamu ulipungua.Zilikuwa siku za mateso makali.
3 weeks baada ya mzee wangu kufariji..niliisha.
Marahaba mdogo wanguYou Will Never Walk Alone[emoji91][emoji3590]
Shkamoo Mjep
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mungu ni mwema wakati woteMarahaba mdogo wangu
Bila shaka uko poa una enjoy weekend
Nilipe deni sasa..Pole sana, ni mipango ya mungu, sikufahamu ulipungua.
Kimiminika gani?Kimiminika kile
Kikishamwagikia kunako
Lazima kipagawishe
Habari za jioni
Yaani nakulipa na ziada, narudi mrembo.Nilipe deni sasa..
Mimi yatima ujue[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Umenipiga chenga mno.Yaani nakulipa na ziada, narudi mrembo.
Kwa hio umenuna?Umenipiga chenga mno.
Nakaribia kutoka,nilipe[emoji19]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Nimenuna ila deni lako liko palepale😃Kwa hio umenuna?
Haya kukuche Sasa ...16:19 hiipoapoa kipenzi mi mwenyewe Nalala kidogo mniamshe saa 16:30 niende chama!!
😃Nimenuna ila deni lako liko palepale😃
😉😃
Usinune sasa picha zinakuja nyingi sana
Naona upo unapata neno, safi sana.😉
Nimemmiss Strawbella vibaya sana mamy[emoji134][emoji134][emoji134]
Jamani umekuja?Nimefika
Si unajua leo mapumziko ndio tuna kimbiza panya na mende
Mzima lakini?
Atakua ametingwa na majukumu atakuja tu ngoja nikamsake aliko mzungu wetu
Strawbella you are needed here
Hebu mwite rafiki yangu nimeishiwa nguvu za kutype hapa