cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,290
Yeaaah.Yeah since pako juu hivi
Yeaaah.Yeah since pako juu hivi
Ameeeeen11 Bwana analitoa neno lake; Wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa;
Zaburi 68:11
Dawa ni dawa nzuri mwanangu🤣Umeona uzodoe jina langu..Tena hadharani!!!
Amaaaaammmiiiiinnnnaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Halleluuuuiiiiiijah!!11 Bwana analitoa neno lake; Wanawake watangazao habari ni jeshi kubwa;
Zaburi 68:11
Ameeeeeeeen!!!!!!!Usilie basi, si unatujua wanyaki: sikawii kuanzisha msiba hapa. Mwaya endelea kumshukuru baba yako na kumfurahia, na kuwa mtoto yule ambaye anamuheshimisha. Wanafanya mengi sana kwa ajili yetu na kesho zetu, and expect nothing in return; apart from kutushuhudia tunavyokua na kusimama wenyewe kwa miguu yetu. Kuwa na mtu wa kumuita "baba" ni neema na baraka kubwa sana...............
Sasa mtu akitaka kukuacha; utamlazimisha aendelee kuwa na wewe? Daah hiyo ndoa yenyewe imedumu kwa muda gani?ubuyuuu si kaumwaga juzi chimbo, sasa A anasemaje hawa watu mnawachekea, dawa yao ukiwa name na akitaka kukuacha unampa tukio kubwa, hivi mnakubali vipi kuachwa kirahisi?
mbavu cnaaaa, nkawa najisemeaaa watu watachezewa watakuja kustuka too late, hawana chochote na magonjwa juu,. Waanze kuwapa tabu ndugu zao.
Maana hawaaambiliki yaan lol.
Ushaondoka au bado upo???Ameeeeen
Brooo....😂😂😂😂..ila poaHiyo ni
Dawa ni dawa nzuri mwanangu🤣
Naondoka..nalala kidogo..baadaeUshaondoka au bado upo???
Brooo....😂😂😂😂..ila poa
poapoa kipenzi mi mwenyewe Nalala kidogo mniamshe saa 16:30 niende chama!!Naondoka..nalala kidogo..baadae
Anasema miezi 8,Sasa mtu akitaka kukuacha; utamlazimisha aendelee kuwa na wewe? Daah hiyo ndoa yenyewe imedumu kwa muda gani?
Kwa kweli wakae tu kwa kutulia






cna mbavu hapaaaah. 




kuna mpemba sahivi ndo yupo mjengoni, kidampa kaachwa solembaaaaa, ila hawa watu sijui wakoje wanabadilisha mnooo.Wee kikobaa leo?poapoa kipenzi mi mwenyewe Nalala kidogo mniamshe saa 16:30 niende chama!!





Rudi kidogo mwanangu mzuri🤣Naondoka..nalala kidogo..baadae
😂😂😂🤣🤣🤣🤣 ndio shos wanijua Sitaki madeniiiii nataka nikalipe niwe huruuuu!!😂😂🤣!!Wee kikobaa leo?![]()
ndio shos wanijua Sitaki madeniiiii nataka nikalipe niwe huruuuu!!
!!





kwan leo ndo rejesho la deni? Kwa kikoba sipendi kukopaaaa.
Kiafrika sio vizuri kumsifu mdogo wake lkn uko vizuri mdogo wangu hopo palipo na moyo😆St Anne
Black dress,black woman
Black is beautiful.View attachment 2265657View attachment 2265658
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app