Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tumeshtuka saivi sis darling, hatulei tena financially peke yake, we provide and protect halafu tukizeeka madogo wanasema "bila mama nisingefika hapa"😂, tumeshtuka. Now we provide, protect and nurse..the!
Trust me ukiwa baba wa aina hiyo; watoto wako watakushuhudia na hata mtu awamezeshe sumu kiasi gani; hawawezi kukugeuka. I'm one of them; nafikiri maisha yangu mengi nimemuongelea zaidi baba kuliko mama.
 
Nyumbani kwetu toka wadogo tumekua tukila zaidi chapati za maji, za kusukuma kuna waliojifunza wenyewe badae kabisa ukubwani. Ni maamuzi tu kutojua kupika chapati sidhani kama ni kesi.
Kwa hiyo hujui na unaona poa tu?
 
Nyota si unayo lakini au? Maana wanasema usililie uzuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyota anayo N, Aliolewa na Sheikh pale Upanga, afu hatuna habari, ko tumejua karibuni, but kaachwa, kuna mpemba kaja kuchukua nafas yake.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mambo haya, kwan huna ubuyuuu huu wee?
 
Trust me ukiwa baba wa aina hiyo; watoto wako watakushuhudia na hata mtu awamezeshe sumu kiasi gani; hawawezi kukugeuka. I'm one of them; nafikiri maisha yangu mengi nimemuongelea zaidi baba kuliko mama.
Binafsi nilishashtuka tangu mda sana, hizi mambo za kuona ukitoa pesa tu inatosha sikuwahi kuiamini. Watoto ni lazima wafurahie uwepo wa baba yao.
 
Hahahaaa.. imekutoa mshepu hatareeee!!! Nimeshtuka huku kujaa ghafla namna gani hukuuuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilinitoka 80k Shougaaa angu, nilipata 2, sitaki Unyonge kabisaaaa.

Na nilijua lazima utetemekee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom