Selfika na JF: Snap it. Show it

Inapendeza kaka
Selfie[emoji848]..tatizo haka ka camera ka simu kangu naogopa nitatisha watu
Hizi vurugu Muachie Yna pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!! Hebu bariki watu mshepu wa maana Rumaiya unakwama wapi sikuhizi lakini!!!??[emoji6][emoji6][emoji6]
 
Nyumbani kwetu toka wadogo tumekua tukila zaidi chapati za maji, za kusukuma kuna waliojifunza wenyewe badae kabisa ukubwani. Ni maamuzi tu kutojua kupika chapati sidhani kama ni kesi.
 
Naona umeanza kuzoea uzi kwa speeeeeeeeddddd Safi sana!!!!
Au ni mgeni mwenyeji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji848][emoji1787]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zubaa hivyo hivyo.
 
Wanatunyanyasa sana tunaotumia App kwanza notifucations zimekata mateso tu.
Hamia kwenye web mdogo wangu hutajuta
Umeamka salama lkn?
Ulimtesa sana yule dokta aiseee bado nafikia ile story hapa navaa viatu vyake naona havinienei kabisa😉
 
Hamia kwenye web mdogo wangu hutajuta
Umeamka salama lkn?
Ulimtesa sana yule dokta aiseee bado nafikia ile story hapa navaa viatu vyake naona havinienei kabisa[emoji6]
Nimeamka salama nashukuru Mungu, sijui wewe

Yule dr alikua na yake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…