Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilijiskia vibaya sijui alikua na lengo gani.
[emoji23][emoji23] niliendaga Amana Kwa wale wa bima. Nilikuwa naumwa mguu ye sijui alijua naumwa paja. Si akasema nyanyuka uvue nione. Weee, nikamwambia dkt mie naumwa mguu, weee alisonyaaa[emoji28]
 
Yani mimi nikijua ndani Kuna dkt wa kiume huwa nafurahia sana. Wana kauli nzuri na wakarimu..
 
Ni ka diclofenac nini [emoji16]ndio uwa wanakataa kwenye mshipa.. ni tako au ufunue paja…
[emoji16][emoji16] private hiyo. Nilimmind kinouma halafu nilikuwa nimevaa gauni mchongoko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…