Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata, kitu ambacho hatupendi ni mwanaume mwenzangu anishike tako, aisee tena anifute alipochoma nitampiga ngumi.

Bora mwanamke anichome.
Au kipimo cha tezi dume, bora mwanamke, mwanaume mwenzio mnaweza ishia kuvuragana mpelekwe polisi.

Aiseee

Basi tupo kinyume.
Wengine tunakuwa comfortable kuhudumiwa hiyo huduma na wanawake wenzetu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 

Aiseee

Basi tupo kinyume.
Wengine tunakuwa comfortable kuhudumiwa hiyo huduma na wanawake wenzetu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wanawake hupenda kuhudumiwa na wanaume bhn yani kuna mtu nlkua namhudumia analia kama yupo kitandan mpaka nikafadhaika yan ukisogeza sindano tu analia
 
Hawapaki poda,lotion na mapafyumu?
wanaiuzi kwenye kuwaomba pesa, hawahongi hovyo, yaan wao wanataka 50/50.
Au labda uaandae proposal ya bussiness, but ni wadadavuaji watataka had wajue kiini cha project dadeki, wazungu ni nyokooooooh.

Ila akikupendaa utafaidi, wanauzi hawachoki ktk sex yaan utadhan porno khaaaaah, yule mbwaaa anikomee.
 
Back
Top Bottom