Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeah huwa naifuatilia vizuri. Mwanzoni nilikuwa naiignore, siku niliyosema niangalie ndiyo nikajikuta nimeipenda mazima. Inafurahisha, kuhuzunisha na kuelimisha haswa.

Mke mkubwa angechukua tu 50% zake akatulia, sio kwa wizi alioufanya. Teh ila ananyuka pamba sasa hivi, na lile guu la bia
Anafanya revenge madai yake kaingiliwa ndoani 😂

Sema wale wake tu wako na miguu karibia wote, ukimtoa tichaa na Tamara.

If I were a man… ningekuwa na Mansion kama ile , na wake zangu wanne tu 😆😆
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maeneo mengine ni ya kuweka mbali na watu.

Mwingine anakuaambia tuone[emoji1787]
Unafunua aone...hii ilimkuta ndugu yangu.


Aisee mimi nitamwambia dokta kuwa tatizo lipo kama nilivyokuambia.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyie mbavu zinauma hapa khaaah.
 
Anafanya revenge madai yake kaingiliwa ndoani 😂

Sema wale wake tu wako na miguu karibia wote, ukimtoa tichaa na Tamara.

If I were a man… ningekuwa na Mansion kama ile , na wake zangu wanne tu 😆😆
Revenge ya kwio. Uzuri wale wake wenzake wote wanapiga kazi shambani; angewaacha waenjoy hata % ya mume wao.

Tamara tapeli mkubwa, anachowaza ni kuchop money tu. Pale wake ni Mwiza (ticha) na Tombi. Shupiwe Kila siku "daddy daddy"; sasa hivi Nguzu kafulia hana hata habari. Kweli wakati wa shida yako, ndiyo unawajua walio wako kweli. No wonder Mwiza is his all time favorite wife.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kama ulijuaa huo mgawanyo wa 23% ndio nauwazia hapa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji12][emoji12][emoji12]!!
Nishapanda daraja la pili nahio increment watu wauweeeeeeeehhhhh!![emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]!!
Weraaaaaaaaa weraaaaaaah
Ntavimba shougaaaaah angu, vocha km zoteeeee.
 
Back
Top Bottom