cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,160
- 181,296
Ref his comment… sindano tu ndio ujilize lize? Na sio kulia, ni binti alijiliza





kweli alimzimikia.Ref his comment… sindano tu ndio ujilize lize? Na sio kulia, ni binti alijiliza





kweli alimzimikia.Hajui ku approach au 😀😀Sema na yeye hakua mzur bhn
Sikuvutiwa nae tuHajui ku approach au 😀😀
Kam kauwaaaa✌️✌️✌️✌️ sina mambo mengi mie ni shwaaa Imethibitishwa!! ........Umenyooka km rulaaaaaaa,![]()
Mweee 😀😀 kwahiyo ungevutiwa ungepiga? HaaaSikuvutiwa nae tu
Au alikuelewa?Wanawake hupenda kuhudumiwa na wanaume bhn yani kuna mtu nlkua namhudumia analia kama yupo kitandan mpaka nikafadhaika yan ukisogeza sindano tu analia
Haya sawa,Haina shida, kikubwa offer ya beer.
Wee tenaaaaa, mbna hauna mbambamba, mzungu wa rohooooo.Kam kauwaaaasina mambo mengi mie ni shwaaa Imethibitishwa!! ........
Wanawake!???
Aiseee
Basi tupo kinyume.
Wengine tunakuwa comfortable kuhudumiwa hiyo huduma na wanawake wenzetu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Eti ka sindano sijui ka diclofenac ndio ujilize lize hovyo? Haiingii akilini
Kuna jamaa namfahamu, back in days ni miaka mingi imepita, alinipa story kuna mama wa makamo alikuja hospital njia ya mkojo imeziba, jamaa alikuwa ndio yupo pale, kijana mdogo tena yupo field, njia pekee ni kuchomeka ki bomba kwenye tundu la mkojo.
Aiseee
Basi tupo kinyume.
Wengine tunakuwa comfortable kuhudumiwa hiyo huduma na wanawake wenzetu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Yaani huduma nyingine anihudumie mwanaume..Wanawake!???
tuki vote mie I can’t vote for them aisee, talking with experience!
Nurse na doctors wa kiume mara nyingi wako cool Kuliko KE
Nje ya kazi lakini sababu unlike vetenaries sisi haturuhusiwi kumla mgonjwaMweee 😀😀 kwahiyo ungevutiwa ungepiga? Haaa
Daddie 🤣🤣🤣🤣✌️✌️🕺💃💃daddie sahivi katelekezwa kwanza, anangoja mambo yakae sawa huba lirudi.Revenge ya kwio. Uzuri wale wake wenzake wote wanapiga kazi shambani; angewaacha waenjoy hata % ya mume wao.
Tamara tapeli mkubwa, anachowaza ni kuchop money tu. Pale wake ni Mwiza (ticha) na Tombi. Shupiwe Kila siku "daddy daddy"; sasa hivi Nguzu kafulia hana hata habari. Kweli wakati wa shida yako, ndiyo unawajua walio wako kweli. No wonder Mwiza is his all time favorite wife.
Mtoko tayari sioNimejaribu ku keep up na watu ku chat naona nimeelemewa, ku chat ni kipaji
Siku njema wapendwa.

Mateja kwato .Nimezielewa hizo kwato.Tbt 1994 kipindi nipo mrefu sshv nimekua mfupi
Hasta siempre View attachment 2264654