Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bwana nilienda hiyo hospital nilikua napata discharge za ajabu ajabu dr akanambia inatakiwa achukue hayo maji maji wenyewe wanasema kuotesha sijui ajue shida ipo wapi lkn siku hiyo nilikua mkavu tu. Dr akaniambia basi inabidi atumie vidole aingize huko heee nikajiuliza kwa nini kidole wakati kawaida najua wanatumia vile vidude kama cotton buds nikasema wacha nimsikilize siwezi bishana na yeye ndio anajua analolifanya akanambia nilale kwene kile kitanda vinavyokuaga kwenye vyumba vyao.

Basi akawa anaingiza vidole nkaanza kuona hali inabadilika anakazana tu kuingiza vidole nikamuambia naumia kama hakuna namna basi nije siku nyingine ananiambia subiri. Nikasema leo yatanikuta makubwa lakin nashukuru hakunifanya lolote badae akaacha akaniambia kapata kiasi atatumia hayo hayo nivae nisepe. Nilijiskia vibaya + aibu kunichungulia muda wote huo wakati kulikua na namna nyingine tena rahisi tu.
Ko Dr akakuchokoroa kunako? Afu baadae ulivyotoka akalamba dole lake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Dr ana balaaa huyo lol.
 
[emoji23][emoji23] we coca wewe
 
[emoji23][emoji23] we coca wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dr badala achome sindano yeye anapapasa tako kwa chini kidogo nyuma ya paja, alichokutana nacho hatasahau,

Etii Oooh mbna km unalika, nalika ya nyokooooooo msieeeeew
 
Wee mtoto nimekushindwa [emoji23][emoji23][emoji114]
 
Alikufanyaje [emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee sio sex n porno, afu alikua anatakaga tu ji record, mxxieww nilikua namgomea mbna.

Nilikua nawahi mie hotelin, asije awahi yeye akategesha camera zake afu sijui wee, khaaaaah sitaki kabisaa mzungu,.
 
  • Kicheko
Reactions: EEX

[emoji1787] kiranga chote komooo. Watu wanaopenda kujirekodi naona hamnazo na tutaachana siku hiyo hiyo.
 
[emoji1787] kiranga chote komooo. Watu wanaopenda kujirekodi naona hamnazo na tutaachana siku hiyo hiyo.
Kiranga chote komooooo, wazungu hawana maana kabisaa, wala sio wa kuhangaikia michosho tupu. Woiiiiiiiiih.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wapopo nao, ila mie daaah.
 
Back
Top Bottom