Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😅😅 unawajua hadi na majina.. uko vyedi…

Wamfelishe tu, mie sijapenda anachowafanyia wenzake.
Yeah huwa naifuatilia vizuri. Mwanzoni nilikuwa naiignore, siku niliyosema niangalie ndiyo nikajikuta nimeipenda mazima. Inafurahisha, kuhuzunisha na kuelimisha haswa.

Mke mkubwa angechukua tu 50% zake akatulia, sio kwa wizi alioufanya. Teh ila ananyuka pamba sasa hivi, na lile guu la bia
 
Hahah ...mimi siku moja hivohivo
bana kwenyee x ray ya hapa kwenye nyonga bana sijui ndio dokta wa x ray yuko anataka kufanya taaluma yake nimelala pale kitandani akaanza kunishika huku juu kifuani alihisi shida yangu ya kifua nikamwambia hapana dokta sio huku ni hapa dokta!!
Yani ananiangalia hio x ray huku namuona kabisaaaaa kadindisha imevimba vibaya weeeeeeeehhh niliogopa sana !!
Duh....
 
Back
Top Bottom