Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,055
Weee venye unajua Kichwa cha chini kikisimama chajuu hakifanyi kazi ujue 🤣🤣🤣🤣🤣!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] balaa gani sasa?
Weee venye unajua Kichwa cha chini kikisimama chajuu hakifanyi kazi ujue 🤣🤣🤣🤣🤣!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] balaa gani sasa?
Wakalifaidi hilo shepu[emoji1787]Yani unaona kabisa kitu hii hapa venye yuko hapo ana ku attend uwiii niliogopa nikatetemeka kweli hahahah!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji134]Usikubali home kwao
Tena hata biere huwa haitelemki vizuri
Kwendaa[emoji23]Chini wapi
Tafsida za nini
Nifafanulie nielewe
[emoji23]Una ujinga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila inaonyesha bado hujaumwa wewe…. Yan ile kuumwa kisawa sawa kwako bado..
Mi mwenyewe nimeshtuka,Usikubali home kwao
Tena hata biere huwa haitelemki vizuri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi mwenyewe nimeshtuka,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooo hapa.Weee venye unajua Kichwa cha chini kikisimama chajuu hakifanyi kazi ujue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Nilikuwa napata story chuo, dr wa dispensary ya chuo alikuwa na kamchezo kwa wahanga..Vipimo vingine vya kijinga sana,
Kuanza kuchokonoana kizembe aisee!
Ngumu sana.
Akimaliza kuchoma sindano anakufutafuta takoo.Acha tu shos !! Hiko kitengo sio poa kabisaaa!! Nilijikaza aniattend haraka nitoke zangu asijeanzisha balaa pale!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooo hapa.
Mwalimu unawza salary ya mwezi wa 7Acha tu mdogo wangu!! Halafu Jana tulikua na interschool competition weeeee netball ni walitunywesha magoli mpaka nikakukumbuka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa napata story chuo, dr wa dispensary ya chuo alikuwa na kamchezo kwa wahanga..
Ana kupima kwa techniques ambazo anajua ataamsha atakavyoamsha..
Kuna madokta wengine hawafati ethics za kazi zao kabisa….
Sasa ukikutwa ndio utajua hujui [emoji16]ni kipimo cha kijinga au nini…
Huyo alikuwa ni mzabzab alishahadithia hiko kisa, sema mlikuwa hamjuani, na alifungulia na uzi sema mods waliufunga.Hahah ...mimi siku moja hivohivo
bana kwenyee x ray ya hapa kwenye nyonga bana sijui ndio dokta wa x ray yuko anataka kufanya taaluma yake nimelala pale kitandani akaanza kunishika huku juu kifuani alihisi shida yangu ya kifua nikamwambia hapana dokta sio huku ni hapa dokta!!
Yani ananiangalia hio x ray huku namuona kabisaaaaa kadindisha imevimba vibaya weeeeeeeehhh niliogopa sana !!
Hivi ww una nn lkn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] embu nitumie namba ya rafiki ako huyo
Kama hutaki nyumbani sawa..ila nje na nyumbani lazima iwe mchana.Mi mwenyewe nimeshtuka,
[emoji23][emoji23][emoji23] mama usinikumbusheee hawa madokta hawaHahah ...mimi siku moja hivohivo
bana kwenyee x ray ya hapa kwenye nyonga bana sijui ndio dokta wa x ray yuko anataka kufanya taaluma yake nimelala pale kitandani akaanza kunishika huku juu kifuani alihisi shida yangu ya kifua nikamwambia hapana dokta sio huku ni hapa dokta!!
Yani ananiangalia hio x ray huku namuona kabisaaaaa kadindisha imevimba vibaya weeeeeeeehhh niliogopa sana !!
😂😂😂 ukishapewa umiliki uwache kunikwotiHivi ww una nn lkn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] embu nitumie namba ya rafiki ako huyo
Teh kweli wahenga walikuwa sawa "mficha uchi hazai". Kuna muda utajifunua mwenyewe bila hata kuambiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maeneo mengine ni ya kuweka mbali na watu.
Mwingine anakuaambia tuone[emoji1787]
Unafunua aone...hii ilimkuta ndugu yangu.
Aisee mimi nitamwambia dokta kuwa tatizo lipo kama nilivyokuambia.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hata, kitu ambacho hatupendi ni mwanaume mwenzangu anishike tako, aisee tena anifute alipochoma nitampiga ngumi.Akimaliza kuchoma sindano anakufutafuta takoo.
Ila ni ngoma draw..Kuchoma mwanaume sindano ni raha pia..na wasivyopenda kuchunguliwa matakoni,,basi unashika tako lake[emoji2].
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app