Makazi si tumevamia sehemu za watu? Je wewe kule? Si ndio mshua pro max 😂😂😂Aah we sio wa mchongo
Kuanzia makazi hadi swaga za kishua🤣🤣
Naskia unalipa kodi in dollars💵💵
Unaletaje ugomvi wa mawe, wakati unaishi nyumba ya vioo?Kwahiyo mtaniacha nibondwe 🤣
Ivo ivo we wa kishua bana 🤣🤣Makazi si tumevamia sehemu za watu? Je wewe kule? Si ndio mshua pro max 😂😂😂
Swaga za kishua zinatoka wapi huku ugaidini 😆😆
Mwana wa Mungu, naachaje kumwangalia "Shups"? Ila Shupiwe kibokoMpali? Ilianza kuniboa, nikaiacha ila lini sijui nikaona makaratasi yashaibwa nimeanza tena kuangalia 😁😁
Nifosishe tu 😂😂Ivo ivo we wa kishua bana 🤣🤣
No shule zote zina form 1-6! sisi advance ni boys tu wanakaa boarding na olevo ni mixa boys and girls ila day kwao Advance ni girls tupu na wanakaa boarding olevo mixa thenKwa hio boys walicheza na girls football, kwa maana wao wana girls na nyie mna boys...
Afadhali kidogo mlisuuza roho hongereniNetball tulifungwa 15 kwa 9 ila tukalipiza kwenye football
Wao Advance ni girls tupu na wanajua netball sio kitoto nasie advance ni boys tupu Vijana tunawapa mazoezi ya football kutosha so walau tulibalance ushungu!![emoji8]
Yaniiii... halafu Binti vyetu vyenyewe vya bushi wale wa town weeee full mashauzi kushangilia sasa wakwetu wanabaki tu nhiiiiiiiiii!! 😂😂😂Afadhali kidogo mlisuuza roho hongereni
Nakumbuka mtaani tulikuwa tunacheza nilikuwa GA alafu nilikuwa busy siku ya mechi Hadi nafika uwanjan wameshaanza kucheza tumefungwa 5. Nikagaili aisee [emoji23][emoji23][emoji23]nikawaambia wamalizie tu kufungwa inauma balaa na si unajua wadada tunakuwaga na nyodo[emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 muujiza na imani vitalinda viooUnaletaje ugomvi wa mawe, wakati unaishi nyumba ya vioo?
Vizuri kma ukopoa afyayako izidi kuimarikaNiko poa sana aunt
Nashukuru kwa kunijali
MbonaNa wale wenye connection zao mjini wamejaa humu[emoji16][emoji16]
Race hii wana baridi na sio watamuu, hata wanaume wao.[emoji847][emoji847][emoji847]View attachment 2264391
DuhRaha ya sindano taqoni [emoji1787][emoji1787]
😅😅 unawajua hadi na majina.. uko vyedi…Mwana wa Mungu, naachaje kumwangalia "Shups"? Ila Shupiwe kiboko
Mke mkubwa amekwama sana; Hambe na uncle Dickson watamfelisha tu
Kwani nyumbani kuna nini??😁😁Nyumbani? thubutu, nipeleke hata jirani kwenye bar
Beer ni 1500 - 2000.
Ndiyo kitu Gani hicho Wige?Msisahau
Kuleta kimasihara
Kule
Kina spidernyokaAh pole
Ugonjwa hauna siri .. kama ultrasound ndo kabisa maana unashusha nguo hadi chini .
Sijaonaaa!!!Kidogo tu mr vocha!![emoji6][emoji6][emoji12][emoji12][emoji8]
NasikiaSasa unadhani utafanyaje unavua tu