spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,029
- 21,530
Karibu kamsamba mkuuMbozi vijijini
Karibu kamsamba mkuuMbozi vijijini
Kwani unadhani mimi Alkaida ?Sasa unakunywa wewe au mimi? mishikaki ya 200 hio hapana, hivi we unataka picha yangu kuna usalama kweli?
Anazo nyingi tuNitamuongezea na nyingine![]()
Wewe ni mzuri na una sura nzuri no doubt😄😄 we unataka watu wakuPM na mpaka passport size zangu ..
Wakuje kukuprove wrong…. Tena watakuletea na zile za 2017 😂😂😂🤣🤣🤣
Wapi nimesema hivyo!hahah!Kwamba
Yupo uchi
Tatizo lako wewe
Tumsifu nyingi
Katokelezea hatari
Ila kuna watu wanafaidi vitu tam tam
Situmii kinukizi chochote wala mafuta ya kunukia nikimhug mtu ananukia hata kidogo naumwa hapo hapo
Hapana 😂😂😂😂. Ila kesho weekend, unaweza tu ukakengeuka kidogo
I meant ‘vipendwa vingine kwa wadada..sio lazima unukie..Situmii kinukizi chochote wala mafuta ya kunukia nikimhug mtu ananukia hata kidogo naumwa hapo hapo
Unapata mafua makali sana?Situmii kinukizi chochote wala mafuta ya kunukia nikimhug mtu ananukia hata kidogo naumwa hapo hapo
Sanaa mpaka macho piaUnapata mafua makali sana?
Alaaa kweli mkuuI meant ‘vipendwa vingine kwa wadada..sio lazima unukie..
Simply tunaita allergic rhinitisUnapata mafua makali sana?
Sasa unaninyima hata nguvu za kuweka picha.Kwani unadhani mimi Alkaida ?
Ya mia mbili ndipo uwezo wangu umeishia.
Naomba picha Mr handsome.
😂😂 mkuuWewe ni mzuri na una sura nzuri no doubt
Real recognize real 💯
Daah kwa kweli tunapata tabu sio kidogo. Mtu akipita tu na kaharufu kake hujakaelewa, unaumwa siku 3 hoi; nyieeee. Wakati mwingine inabidi ujitenge na watu, kuavoid hizo harufuSanaa mpaka macho pia
Poleeeeee😂😂😂😂Basi nishagombana na mtu sabab alikuja ghetto ananukia so nkanywa vidonge vyangu anti histamine akajua nmenywea vidonge na tukafarakana kuanzia hapo
Madam
Mie nimefanya nini tena