Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,233
WeweAki si nimewamiss!
Mweka hazina atakua yuko likizo bado.
Madereva nao wanaendeleaje?😂
Mbona madereva🤣🤣🤣🤣
Nimecheka…
WeweAki si nimewamiss!
Mweka hazina atakua yuko likizo bado.
Madereva nao wanaendeleaje?😂
Hayavurugiki hata kidogo… ni unapasi juu juu tu, kimtindo yan…Hivi mnazinyooshaga kawaida au? Nikiwaza hayo marinda...
😂😂😂😂
Eeh si madereva wa mameneja😂😂Wewe
Mbona madereva🤣🤣🤣🤣
Nimecheka…
Yaani Kila nikitaka kuzivaa za kwangu, nikiwaza Ile mikunjo inanikata stimu. Na hata nikinyoosha naona mikunjo haitoki vizuriHayavurugiki hata kidogo… ni unapasi juu juu tu, kimtindo yan…
Hizo rinda zko auto, hata ufue uikunje kunje bado rinda hazihitaji moto kuzipanga.
Aje tu, sio kwa kummiss huku😊😂😂😂😂
Tulia hapo, atakuja..
Tanga siijui hata kidogo…Nipe sehemu tulivu kwa tanga ambapo nitakunywa kwa amani
Mikunjo ile ya upya?? Kama ni ile mbona ukifua uwa inatoka..Yaani Kila nikitaka kuzivaa za kwangu, nikiwaza Ile mikunjo inanikata stimu. Na hata nikinyoosha naona mikunjo haitoki vizuri
Hivi bk sio dereva? 😂😂Eeh si madereva wa mameneja😂😂
Jamani mimi nimefua several times naona ipo tu, so huwa najitoa tu ufahamu nagonga hivyohivyo itakavyotokea 😂😂😂😂😂😂😂Mikunjo ile ya upya?? Kama ni ile mbona ukifua uwa inatoka..
Yaani hivyo vyote nimefanya lakini wapi!Hio ni allergy matibabu yake makubwa ni kuavoid allergens pili ndo unatumia izi antihistamines kama citrizen
Huko kote nishapitaCetirizine
Loratadine
Em simama niione vizuri
Mafuta huwa napaka hayo na ya nazi.Mimi mafuta labda Vaseline
Huwa inatuliza tu. Afu kuna muda dawa inakuzoea sana, hata ukinywa inadundaHuko kote nishapita
Hivi vipred ndio hadi vilinizoea.Nkionaga bado napigaga prednisone mimi![]()
Mimi zilitoka chap, au Jaribu kunyoosha na maji..hapo penye mkunjo wekapo tumaji then pasi.Jamani mimi nimefua several times naona ipo tu, so huwa najitoa tu ufahamu nagonga hivyohivyo itakavyotokea 😂😂😂😂😂😂😂
Bk rubani yule, usimshushe cheo tasavali😂Hivi bk sio dereva? 😂😂
Dah 🤣🤣