Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Situmii kinukizi chochote wala mafuta ya kunukia nikimhug mtu ananukia hata kidogo naumwa hapo hapo
Nivea dry impact ni nzuri ati..kwa watu kama sisi.

Dokta wangu alikuwa ananifokea sana..naenda nanukia kama jini..Akasema sasahivi ukija uwe umetumia nivea tu!nyngine achana nazo.

Na mimi siwezi kuacha maana naona hata nisipotumia shida iko palepale.
 
Back
Top Bottom