myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Safiii jirani..
Safiii jirani..
Sasa unakunywa wewe au mimi? mishikaki ya 200 hio hapana, hivi we unataka picha yangu kuna usalama kweli?Nipe kwanza picha .
Nikutoe Out??
Naiba wapi hela sasa?
Unaomba damu kwenye maiti?
Nitakupeleka pale Tukuyu,,Kuna mishkaki ya mia mbili mbili,tunakunywa na juice embe..bia kwangu haramu.
Haya usinitoe kwenye mstari..naomba picha.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Salama kabisa..kwema kwako.Jirani habari 🙈
😊😊 uko kwa wapi etiIla we dada hayaa bhn
Kwema kabisa..Salama kabisa..kwema kwako.
Nitamuongezea na nyingine 😂😂Ni muda wa kumrudisha kundini,
Tena nampeleka faraghani..uzuri sketi za marinda anazo .
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Haonipe guest house nimepumzika na mashemeji zako.. pls pls
![]()

AbeeDepal![]()
Nina gauni la kitenge nimetoka kushona juzi kati.. lirefu ilo 😂😂Nitamuongezea na nyingine 😂😂
Sipo uko saiv npo dsm bhn😊😊 uko kwa wapi eti
KwambaUkiona ukikaa inavuka magoti ujue umedharau wakubwa.



Kuna kile kisehemu ukiwa unataka tu kuingia Tokyo centre, nilikulaga vile vimishkaki, pembeni Wana pilipili na tangawizi na vitunguu swaumu; sijui kupo Bado?Nipe kwanza picha .
Nikutoe Out??
Naiba wapi hela sasa?
Unaomba damu kwenye maiti?
Nitakupeleka pale Tukuyu,,Kuna mishkaki ya mia mbili mbili,tunakunywa na juice embe..bia kwangu haramu.
Haya usinitoe kwenye mstari..naomba picha.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
BhageshiKwamba
Yupo uchi
Tatizo lako wewe
Tumsifu nyingi
Katokelezea hatari
Ila kuna watu wanafaidi vitu tam tam
Fresh!! Mimi niko hapa Fire Kkoo, kuja basi..Sipo uko saiv npo dsm bhn
Kule faraghani hilo gauni lazima liwe la marindaNina gauni la kitenge nimetoka kushona juzi kati.. lirefu ilo 😂😂
Sema sina kapicha, na ka video siwezi kuweka.
Mtu tapeli tapeli weweFresh!! Mimi niko hapa Fire Kkoo, kuja basi..
Aiseeeeee!!
