Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,233
Tumieni bana, mwanaume kunukia 😂😂😂😂😂🤣Hatuwezi kutumia hivo vitu sio compatible na miili yetu
Tumieni bana, mwanaume kunukia 😂😂😂😂😂🤣Hatuwezi kutumia hivo vitu sio compatible na miili yetu
Sawa njoo/nifate sehemu sahihi nikufanyie wepesi hilo hitaji lako mkuu
Kuku nusu na ndizi mbili, na ginger ale ya kushushia.
Nipo mkuu… labda tunapishana tuNipo jirani, umepotea kuasi..
Sehemu sahihi ndiyo wapi tenaSawa njoo/nifate sehemu sahihi nikufanyie wepesi hilo hitaji lako mkuu
Watakaosoma hio sentesi ya mwanzo pekee watashtuka sanaOoh sawa… nina marinda bana, sijakengeuka sana.
Hiyo yenyewe nikivaa na belt rinda zinatokea maana ni bonge la loose dress.. na fundi hakubania kitenge.
MmmmmmhSehemu sahihi ndiyo wapi tena
NhebhonaghaEng'washi bhageshi
Nalemhola sana nkoi
Nagotolela simu odenambokela

WeweWatakaosoma hio sentesi ya mwanzo pekee watashtuka sana
Unaendeleaje na hali😃
Tunataka ile nyingine yenye marinda mengimengiFaraghani ndio wapi? Ilo hapo, ni marinda kimtindo… limechanua hatariView attachment 2263920
😂😂😂. Ila kesho weekend, unaweza tu ukakengeuka kidogoOoh sawa… nina marinda bana, sijakengeuka sana.
Hiyo yenyewe nikivaa na belt rinda zinatokea maana ni bonge la loose dress.. na fundi hakubania kitenge.
Ile mishkaki mitaamu..na kababu.Kuna kile kisehemu ukiwa unataka tu kuingia Tokyo centre, nilikulaga vile vimishkaki, pembeni Wana pilipili na tangawizi na vitunguu swaumu; sijui kupo Bado?
Mbozi vijijiniWapi hiyo
Mi Sijambo…Unaendeleaje na hali😃
Watumie wenye wanaweza kuendana nazo sisi wenye allergies afya ni priorityTumieni bana, mwanaume kunukia 😂😂😂😂😂🤣
Safii sana..Mbozi vijijini
Duuh sijabahatika tena kupita pale muda mzuri, ngoja nivizie siku mojaIle mishkaki mitaamu..na kababu.
Kila nikipita lazima nile.
Hapa nilipo sijabadili nguo tokea nimerudi…Tunataka ile nyingine yenye marinda mengimengi