T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,936
- 30,099
Hujambo mpendwaAbee
Hujambo mpendwaAbee
Sijambo mkuu, shikamoo.Hujambo mpendwa
TokyoKuna kile kisehemu ukiwa unataka tu kuingia Tokyo centre, nilikulaga vile vimishkaki, pembeni Wana pilipili na tangawizi na vitunguu swaumu; sijui kupo Bado?



😁😁😋😋😋😋 tufanyie wepesi ya rangi
Jiraniiii...Nina gauni la kitenge nimetoka kushona juzi kati.. lirefu ilo 😂😂
Sema sina kapicha, na ka video siwezi kuweka.
Yan kwamba?Sisi watu wa hypersensitive ivo vitu vinatufanya tuonekane wachafu
😂😂😂 nambie jirani yanguJiraniiii...
Anaonekana tuOkay kwa msiomjua Depal ana sura nzur mno lips zake kama mtoto

😂😂😂 nimefanyaje tenaMtu tapeli tapeli wewe
Marahaba mkuuSijambo mkuu, shikamoo.
Faraghani ni sehemu ya kukutania/ibadani kwa wana-Uwata. Dress code ya wanawake ni short hair(hapo umeweza) na nguo za marinda.Faraghani ndio wapi? Ilo hapo, ni marinda kimtindo… limechanua hatari 😅View attachment 2263920
Nipo jirani, umepotea kuasi..😂😂😂 nambie jirani yangu
Poa tu😂😂😂 nimefanyaje tena
Tuwacheee 😂😂Tokyo
Tukuyu![]()
😂😂😂Marahaba mkuu
Unapenda kula na kunywa chakula gani usiku wa leo?
Eng'washi bhageshiIzunaye
Mhola nkhoi
Ng'wagoko
Hatuwezi kutumia hivo vitu sio compatible na miili yetuYan kwamba?
Ooh sawa… nina marinda bana, sijakengeuka sana.Faraghani ni sehemu ya kukutania/ibadani kwa wana-Uwata. Dress code ya wanawake ni short hair(hapo umeweza) na nguo za marinda.
Hapo umeonesha kwamba kwenu kuna wakubwa