Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe huwa unazoom kama haupo, mbwa wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Nimechelewa kutoka job, nimeshindwa kupitia voccha hardcopy, ila huwa sina ahadi za uongo, soon[emoji91][emoji91].
Nasubir hapa, tena watu wamelala, nitaziwahi kwa uhuruuu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akikujibu nitag[emoji6][emoji6][emoji23]
Shougaaaa angu huna kisasi,. Yaan ungekua na kisasi JF ingezizima,.
Mabonge hamna noumaa, ila sie vimbau mbau gubu na hasita had kwa mfupa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaonekana umepanick sana mkuu, kwamba cocastic awe na umri sawa na baba angu? [emoji23]

Hebu ngoja nicheki isije kuwa nimeku-qoute wewe badala ya huyo, kama sikuku-quote basi wewe ndo utakuwa mparamiaji.
👇👇👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220616-231831.jpg
    Screenshot_20220616-231831.jpg
    53.6 KB · Views: 8
Unaonekana umepanick sana mkuu, kwamba cocastic awe na umri sawa na baba angu? [emoji23]

Hebu ngoja nicheki isije kuwa nimeku-qoute wewe badala ya huyo, kama sikuku-quote basi wewe ndo utakuwa mparamiaji.
Aaaah basi sawa nimeona, ilikuwa ni mis-quote mkuu. Mimi nilidhamiria kumquote cocastic bahati mbaya ikawa kwako. Niwie radhi kwa hilo.

Pamoja na hayo huwezi kuwa baba angu wewe, acha mikwara[emoji23].

Cc Glenn
 
Unaonekana umepanick sana mkuu, kwamba cocastic awe na umri sawa na baba angu? [emoji23]

Hebu ngoja nicheki isije kuwa nimeku-qoute wewe badala ya huyo, kama sikuku-quote basi wewe ndo utakuwa mparamiaji.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko ukaona na mie uniweke ktk vaga lenu? Khaaaaah, sio vizuri hivyooo.
 
Back
Top Bottom