Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,791
Kabisa dearSasa hamtaki kuhonga mnataka iwe kinyume chake aunachojua hakuna mwanaume bahili kwa mwanamke anaempenda kweli.
Kwema sana jirani habari za wewe na Huko mliko!!kwema jirani....
Hahahaaa... niite mamdo!!Unaniita mkuu unataka uninyime nn ww binti![]()

Enhe..Jirani.....
Akikuchek usisahau kunipa namba yakendiyo ndiyo
Mamdo mwenye shape yakeHahahaaa... niite mamdo!!![]()
hahaha huo sio utalatibu ukiihitaj unamwambia anakugea mwenyewe aseAkikuchek usisahau kunipa namba yake
Ooh haya dearNgoja nikuoneshe nilochagua uniambie kama ya zamani sana au laa!
Nakubal bwana shemejihahaha huo sio utalatibu ukiihitaj unamwambia anakugea mwenyewe ase
Aiseee model mtoto mkal pisi ya maana hapa townView attachment 2262890
Hello Anne.
Swagger Pambe sana!! !! Kiatu hiko👌👌 😘😘View attachment 2262890
Hello Anne.
Pisi kama hii ukiipa buku uipandishe bodaboda afu kimoja chali unaachwa siku hyo hyoView attachment 2262890
Hello Anne.
eee!!shemej kivip tena ndugu?Nakubal bwana shemeji
Kaka unataka kusema upo singleeee!!shemej kivip tena ndugu?