cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,357
- 188,057
Weraaaa weraaaah.Pamoja sana[emoji91][emoji91]
Weraaaa weraaaah.Pamoja sana[emoji91][emoji91]
Mguu tu yani nipo sheli hapa nasubir Mguu wako tuNikutumie nini?
Apple daah. Noumaaaah.View attachment 2261621
Kuna watu hata Lita 1 hawamalizi Kwa siku, make sure you drink it [emoji123]
Hello everyone [emoji113]
Me too akuuuuhAkuuuuh.
AtakaekuoaAh nimetamani kupata series hiyo
Ninampenda huyu dada Rachel McAdams naona anacheza part ya Irene Adler.
Oh really Asante .. ni simple usiruhusu hisia zijibu
Just be humble ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiiiih.Hata mtoto wa mama mkwe sinaga muda wa kununa[emoji1].. nakuchana live mambo yanasonga.. siku nikinuna ujue umenikera sanaaaaaaaaaa, na ukijua jinsi ya kumaliza mnuno tuu, ohooo[emoji23][emoji23] sichelewi kucheka
Tobaaaa[emoji16][emoji119]Ehh man vp ni Pisi ya maana ina Tako na kifuani ipo vizur
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Me too akuuuuh
Ah bora kusemaMi ukinikera sinuni mama, nakuambia papo hapo. Una hiari usuke au unyoe.. siwezi vimbisha mdomo Mimi siku nzima kisa mtu [emoji16]
Kabisa, consequences zake ni kubwa sana ukiwa mvivu kunywa majiKweli man
Nisimulie zaidiNyanya zangu zimekomaa huku Misungwi na early July nauza. Na Wasukuma unatujua tukiuza mazao yetu. sophy27 shahidi yaani. Kwa rangi na guu hilo pamoja na nilichokiona jana kwenye zile picha umesimama mweh! [emoji16][emoji16][emoji16]
Bia je vpKabisa, consequences zake ni kubwa sana ukiwa mvivu kunywa maji
Aah kumbeee, takutumia usiwaze.Mguu tu yani nipo sheli hapa nasubir Mguu wako tu
Ah hamnaAtakaekuoa
Lazima ajue english kozi
Mimi darasa la 3B nakuanzia wapi
Ugali kwa kizungu unaitwaje tena[emoji848][emoji2089][emoji1787]
Maliza Shule kwanza Mjukuu, hii utaipata tu ukishaanza kusaka maisha 💪Apple daah. Noumaaaah.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ziache tu, ambulance ipo njiani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiiiih.
Yaan hatareeeeeeh hiyoo.Maliza Shule kwanza Mjukuu, hii utaipata tu ukishaanza kusaka maisha [emoji123]
Khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ziache tu, ambulance ipo njiani
Vipi kwa wale waliosoma huku wakiwa nazo?Maliza Shule kwanza Mjukuu, hii utaipata tu ukishaanza kusaka maisha [emoji123]
Huwa huwezagi kumwambia mtu ukweli?Ah bora kusema
Kuliko kubaki na kitu moyoni
Mpaka niongee aisee hapo kuna jambo na hasira zimezidi .