Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,324
Kumwagilia moyo tumeambiwa tusiache, maana faida ni nyingi kuliko hasara 🥂Bia je vp
Kumwagilia moyo tumeambiwa tusiache, maana faida ni nyingi kuliko hasara 🥂Bia je vp
Ukweli umenishindaga kusema sehemu 1 tuu hapa duniani. Hapo Kila nikijitahidi niuongee siwezi [emoji28]Ah bora kusema
Kuliko kubaki na kitu moyoni
Mpaka niongee aisee hapo kuna jambo na hasira zimezidi .
Naweza tu sema naangalia mtu mwenyeweHuwa huwezagi kumwambia mtu ukweli?
Tumetofautiana background, huyo inaonesha angependa kuwa nayo ila hana nafasi ya kununua Sasa of which nimemu encourage ataweza kuinunua akishaanza hustling zake baada ya collegeVipi kwa wale waliosoma huku wakiwa nazo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Khaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah, kama hukasirikagi mapema hiyo nzuri hiyo dear[emoji7]... Napenda Sana mtu wa namna hiyo.Naweza tu sema naangalia mtu mwenyewe
Sema hadi uniudhi sijui , labda iwe umbeya huko
It is possible, play your part granddaughter 💪💪Yaan hatareeeeeeh hiyoo.
Sehemu nyingine bora utulie zako kimyaUkweli umenishindaga kusema sehemu 1 tuu hapa duniani. Hapo Kila nikijitahidi niuongee siwezi [emoji28]
Watanzania wengi wetu hatujali sana masuala ya ngozi mtu kapaka mafuta au lotion kamaliza.Wengi bado hawajaelewa umuhimu wake lakini ni siri mojawapo kubwa ya kubakia na baby face miaka na miaka hasa kwenu mabinti.
Ni vyema kuwa mguu umepona. Mungu Aendelee kukubariki Nkamu. No more high heels though [emoji16][emoji16][emoji2099]
Yeah ukimya ni mzuri Sana. Unaepusha Shari zisizo za maana.Sehemu nyingine bora utulie zako kimya
Sawa mkuu.Tumetofautiana background, huyo inaonesha angependa kuwa nayo ila hana nafasi ya kununua Sasa of which nimemu encourage ataweza kuinunua akishaanza hustling zake baada ya college
Hujaficha nondo kweli humo kwenye viatu?Eeeeeh hata kama physiology ni ngumu,,, kupendeza kwenye mtihani ni constantView attachment 2261644
Kukasirika kupo dear sema inategemea na jinsi huyo mtu alivyokuudhi .Yeah, kama hukasirikagi mapema hiyo nzuri hiyo dear[emoji7]... Napenda Sana mtu wa namna hiyo.
Naachaje silaha mzee,,, wahuni tunafaulu kwa tabu sanaaaHujaficha nondo kweli humo kwenye viatu?
Hizo raba zimekukaa vizuri kijana.
Naona Avatar ya mkuu Grahams hapo.From Kilo 91 to 78….soon nafika 68.
Nkamu before Aug 13 lazima nikufikie [emoji3][emoji3][emoji3] Saint Anne
Kila la kheriEeeeeh hata kama physiology ni ngumu,,, kupendeza kwenye mtihani ni constantView attachment 2261644
Thank you mate,, [emoji120]Kila la kheri
[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]Unanichora au sio? Unajitoa ufahamu eeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni test au ?Thank you mate,, [emoji120]