Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 14,020
- 28,069
Sijaona Me akiweka pic hapa, ngoja niendelee kushudia uumbaji wa Mungu tu.Afu wee weka picha yako bas.
Sijaona Me akiweka pic hapa, ngoja niendelee kushudia uumbaji wa Mungu tu.Afu wee weka picha yako bas.
Kwenye hzo novel zake unakosa uhondo,, tafuta ile series tena role yake ameichukua benedict cumberbatch yule wa dr strange,, ni hatari
I have to be your apprentice kwenye how to respond to the mean and gross conversations
Tuondoke shougaaa angu.Nisubiri tuongozane shos !![emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092][emoji2092]
Rangi ya mtume
Aiseeeh[emoji39][emoji39]Uswazi km uswazi.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Tatizo vumbi mweeeh. View attachment 2261594
Wameweka wengi tyuuh mbna.Sijaona Me akiweka pic hapa, ngoja niendelee kushudia uumbaji wa Mungu tu.
Nyanya zangu zimekomaa huku Misungwi na early July nauza. Na Wasukuma unatujua tukiuza mazao yetu. sophy27 shahidi yaani. Kwa rangi na guu hilo pamoja na nilichokiona jana kwenye zile picha umesimama mweh! [emoji16][emoji16][emoji16]
Kugombana hakunaga maana.,, Wala kununa aisee. Mie siwezagi kununa[emoji28]. Nyumbni, marafiki huwa wananishangaa Sana, sipogo kwenye ugomvi Wala kununa. Sema mcheshi balaaaaThank you so much for noticing [emoji1545]
Ila Sherlock is something else man .. quick witted , analytical etc
Greatest detective of all times
Sipendi kugombana maana it disturbs my state of mind .. I'm always a happy person sasa naona hakuja haja ya kugombana na mtu bila sababu ya msingi .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko nibaki?Usiondoke bhna shostie
Nakujaa shos simama hapohapo dakika sifuri nafika hapo🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️Tuondoke shougaaa angu.
Haya..Wameweka wengi tyuuh mbna.
Wee hebu weka.
Nakusubir hapa.Nakujaa shos simama hapohapo dakika sifuri nafika hapo[emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214]
Nasubir sasa mwenzio.Haya..
Weka picha yako.Aiseeeh[emoji39][emoji39]
Nitakutag usijali...Nasubir sasa mwenzio.
Movie ni ya kawaida,,, tafuta series walikuwa wanaonyesha bbc. Ziko season 4Ah nimetamani kupata series hiyo
Ninampenda huyu dada Rachel McAdams naona anacheza part ya Irene Adler.
Oh really Asante .. ni simple usiruhusu hisia zijibu
Just be humble ...
Sasa nataka kutoka mie.Nitakutag usijali...
Hapo Sasa nimeelewa shougha... [emoji16]Hamna story yoyote mpenzi mie nawaogopa sana wanaume wa jf tu shouss!!! Nothing serious [emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji2214][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]!