cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 119,877
- 196,230
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenye kununa huwa namnunia mtoto wa mama mkwe, ili anibembelezeee.Kugombana hakunaga maana.,, Wala kununa aisee. Mie siwezagi kununa[emoji28]. Nyumbni, marafiki huwa wananishangaa Sana, sipogo kwenye ugomvi Wala kununa. Sema mcheshi balaaaa
Kwa wengne hata mnuno hausogei yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]