Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Amina Kubwa
Share nenoJumapili nimeselfica hivyoooo, hapo ni baada ya ibada.View attachment 1253251
Mmmmmmmmmmmm
Kwenu shemMkweo kwa nani eti auntie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaaaniii mechekaaaa
NakujaaaaaaaaaaaaHahahaa mama mchungaji mnisamehe tu na ubonge wenu bado nakusubiri nikupeleke kwa mkorea ujue
Ila mpaka mafuta lazima atatunukiwa chochote baada ya kazi
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Vidoti hapo kwa tisheti au umezoom wapi wewe? Isije kuwa umezoom kwenye kiba[emoji817]
Bora wewe
Mie navaa 43
Abeeh ba mkwemama mkwe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwee
[emoji2][emoji2]wanyakyusa wengi huwa wanatamka hivyo
Manfongo styleSiku hizi hainaga ushemeji wanakulaga eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakaziaa
Utakuja tu najua utakujaHuko sijui kama nitakuja mpaka huu mwaka uishee
Saa mkuuJumapili nimeselfica hivyoooo, hapo ni baada ya ibada.View attachment 1253251
We si nilikutumia[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Haya mtumie na yeye.