Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Bora umwambie ukweli kabisaa
Ila mpaka mafuta lazima atatunukiwa chochote baada ya kazidaah jamaa unawaza sana maisha hayaendi hivyo banaaaa
Hahahaa mama mchungaji mnisamehe tu na ubonge wenu bado nakusubiri nikupeleke kwa mkorea ujueSawa mama Muinjili; tukomeshe mabonge
Bora wewe34 tena?? Hiyo nilivaa nikiwa darasa laaaaa hivi ni la ngapi vile?? Nimesahau eti
Navaa 42 mie
Mkweo kwa nani eti auntieYaani acha tu.
Inabidi mkwe wangu DiasporaUSA afanye mafekechee. Hawezi kuniacha mkwewe nitumie tecno miaka yote hii![]()
Wote wangu shemUmeamia kwa sakayo tena shem



nakupenda pia dadaake mie
Mama wa magazeti weeh ndugu yake zamaradi nakupenda mimi![]()
Bora uhai ilimradi umerudi salama![]()
Achana na makaburiiiAiseeee
Pia nasikia Subira haigongi nyagiMkwe Subira anavuta bangi siku hizi maana heri iligoma![]()
Hahaha huyo Kaka etu ujue usituangushe basi
Nimemaanisha umerudi kwenye uzi mpendwa 😄Sijarudi naangalia mech ya Yanga
@Heaven Sent anataka picha ya short heya.
Si bora iwe miaka 6
Mkwe kwahiyo ile heri uloniambia subira anavuta ni ya miaka 6![]()
Sisi ndo sisi
We si nilikutumiaEehh ndiyo ndiyo tuma sasa tunasubiri



