Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hallelujah
Nguvu ya Heineken hiyoo...

Mimi nakupenda saaanaa, japo sijanywa hata Mirinda, naongea nikiwa na akili zangu timamu kabisaa, nakupenda [emoji8][emoji8][emoji8]!!

Hujanigunduaga, nikikukorofisha huwa nakuwa mekorofishana na mtu mimi, naunganisha huko na wewe na fulani na fulani woote navuruga halafu naanza upya!!
Khaaaaaa
 
Back
Top Bottom