Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nakupenda mimi yaani nakupenda [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] pamoja kuwa kuna mda unanikorofisha ila nakupenda sana

Wewe ni mtu muhimu sana katika maisha yangu N wa kwangu mie [emoji847]
Hallelujah
Nguvu ya Heineken hiyoo...

Mimi nakupenda saaanaa, japo sijanywa hata Mirinda, naongea nikiwa na akili zangu timamu kabisaa, nakupenda [emoji8][emoji8][emoji8]!!

Hujanigunduaga, nikikukorofisha huwa nakuwa mekorofishana na mtu mimi, naunganisha huko na wewe na fulani na fulani woote navuruga halafu naanza upya!!
 
Woyooooo [emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji7][emoji123][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji2956][emoji8][emoji2956][emoji8][emoji8][emoji2956]

Mnazareth
Aiseeee
 
Back
Top Bottom