Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Hapo sawaOohh basi sawa dada nimekubali
Hapo sawaOohh basi sawa dada nimekubali
Ndio ndio
Ndio ndio
EeenhKwenu shem
Niko nakusubiri mama mchungaji ukirudi kwenu wakushangae wajiulize huyu mzungu katokea wapi kumbe mnyaki mwenzaoNakujaaaaaaaaaaaa
Manfongo style
Ulizoom wapi dada eti
Nilipozoomm Mungu ananiona
Mie ninazo kama 10
Kwa nini eti dadaSio rahisi dada
Kiatu
Kwahiyo juzi kati kumbe ulikua na mahasira yako ukatuchanganya yakoHebu hukoo
Usisahau na iPhone jamani shemAndaa tu vitoroli vya kubebea mizigo hapo JKNIA
Mwanaume unakubali kupakwa mafuta mgongoni ili iweje mkuu
Nimekukumbuka pia ba mkwe wangunimekukumbuka sana
Haha mbona wanyaki watanikimbia mimi: tushajizoea na malemba yetu muda wote kama tunaenda kwenye kitulanoNiko nakusubiri mama mchungaji ukirudi kwenu wakushangae wajiulize huyu mzungu katokea wapi kumbe mnyaki mwenzao
Na tuseme Ameeen
Hahahah watajua mzungu kaingia mbeyaHaha mbona wanyaki watanikimbia mimi: tushajizoea na malemba yetu muda wote kama tunaenda kwenye kitulano
Nani kasema hayo maneno shem. Mimi na Mzigua90 ni chanda na pete mpaka utimilifu wa dahariKhaaaa kwahiyo mzigua kamuacha tena
No unaijua ebu fanya kutuma basi