Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hehehee, watu wanahonga gari za mil 150, unazungumzia Prado ya mil 40, gari hizi wanawake mjini wanahongwa mnooo, utakuwa ni mshamba kama hujui watu wanahonga gari wanawake, hivi vi ist ndio usiseme. acha ushamba mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
images.jpeg
 
[emoji16][emoji113]na mie nipate bonge LA baby
Atakaenitunza,na kunijali na kunifungulia miradi ya maana kwakweli,sitaki level za vocha Dada[emoji16][emoji16][emoji16][emoji126]
Post M-alone
Tulia hapo hapo wii..
Muombee kaka,Mungu amfanikishe.

Mume mzuri,mwenye mafanikio unamtengeneza mwenyewe,usisubiri shortcut.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom