Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,999
- 35,457
Mama mimi nasema vizuri tu kama haelewi namtolea na mifano kabisa [emoji23][emoji23] ila sasa lazima na yeye awe vizuri kuna wale hata ukimuelekeza anakuangalia tu[emoji126][emoji126][emoji126]
Hayo ndo mambo
Hakuna kitu kinatesa km kuachwa hewani mama weee