tamsana
Platinum Member
- Jan 13, 2012
- 3,831
- 8,247
Ngoja niangalie namna ta kuleta maombiKwakweli kupendwa raha jmn!
Natamani mapenzi Mapya🏃😁😁🙈
Yakiwa mapya rahaaa
Ngoja niangalie namna ta kuleta maombiKwakweli kupendwa raha jmn!
Natamani mapenzi Mapya🏃😁😁🙈
Yakiwa mapya rahaaa
Ooh Asante sana MadamAsanteeee nilikua naomba mungu urudie nione Lips zako tramu mie!!
Barikiwa sana mpendwa you are so beautiful!!![]()

Mwanamke mwenzangu simtamani bana nampa sifa zake mkuu!!Ushaamtaman hvyo
Ooh vyema rafikiAsante best asubuh yangu itakua poa sana
Nguvu ya makeup tu hapoKumbe ni mrembo

Oh hakikaKwema mrembo, Tunashukuru Mungu kumekucha salama
Leo nime bahatika my sis is beautiful 😍Hii hapa
Dakika 1View attachment 2261270
Sawa ila lips sexyNguvu ya makeup tu hapo![]()
Thank you sisLeo nimebatika my sis is beautiful![]()
Asante sana MkuuSawa ila lips sexy
Tuma na yako ww kibongeMwanamke mwenzangu simtamani bana nampa sifa zake mkuu!!
Ndio nini saasaMwee kuna nini, unataka utupie tusikuone![]()

SijaonaUmeona?
Mrembo kweli kweliThank you sis
Ubarikiwe na wewe mrembo wetu wa hapa selfika
Beautiful indeed
Vipi mzima wewe ?
😂😂😂😂🏃✋Njoo kwangu ningekutumia sms 300 kwa siku missed call 500 WhatsApp sms 100 Instagram dm 400 JF Pm 1000 usipojibu nakufata kwako
WiFi angu nzuri nzuriMrembo kweli kweli
Mimi mzima kabisa dear, sijui wewe?
@Alayna nione kucha yako tuMrembo kweli kweli
Mimi mzima kabisa dear, sijui wewe?
Ebu mshawishi mrembo aweke picha yake mie sijawahi kumuona huyuThank you sis
Ubarikiwe na wewe mrembo wetu wa hapa selfika
Beautiful indeed
Vipi mzima wewe ?
Usiwaze Badae nitaweka ngoja Niwajibike kwanza!!Tuma na yako ww kibonge
HahaaaNjoo kwangu ningekutumia sms 300 kwa siku missed call 500 WhatsApp sms 100 Instagram dm 400 JF Pm 1000 usipojibu nakufata kwako